Raila hatahudhuria mjadala wa wawaniaji wa urais

Raila hatahudhuria mjadala wa wawaniaji wa urais
Mpeperusha bendera wa Muungano wa Azimio Raila Odinga sasa anadai kuwa hatashiriki katika mjadala wa Kitaifa wa wawaniaji wa urais na mshindani wake, William Ruto wa UDA.
.

RELATED NEWS