DCI na IEBC waendelea kutofautiana kuhusu raia 3 wa Venezuela waliokamatwa

DCI na IEBC waendelea kutofautiana kuhusu raia 3 wa Venezuela waliokamatwa
Idara ya Upelelezi DCI imeendelea kuibua taarifa ambazo zinaashiria utata katika safari ya watatu hao kuja Kenya wakisemekana kuwa wafanyakazi wa kampuni iliyopewa kusimamia teknolojia.
.

RELATED NEWS