Sitaki isemekane sikuhojiwa, Kalonzo asema baada ya kubadili msimamo
Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka ametetea uamuzi wake wa kubadili msimamo na kwenda kuhojiwa na jopo la mchujo wa kumtafuta mgombea mwenza wa Raila Odinga.
Latest Video
N95 or KF94? Which mask is best at protecting against COVID-19