Walimu wakuu waagizwa kuwasajili wanafunzi wote

Walimu wakuu waagizwa kuwasajili wanafunzi wote
Waziri wa Elimu Prof. George Magoha amewataka walimu wakuu kuhakikisha wanafunzi wote wanaotarajiwa kuwa watahiniwa wa mitihani ya KCPE na KCSE 2022 wanasajiliwa kufikia tarehe 14 Mei.
.

RELATED NEWS