Rigathi aitaka DCI kutoingiza siasa katika uchunguzi wa kifo cha mwanawe Sankok
Mbunge wa Mathira, Ragathi Gachagua ameitaka Idara ya Upelelezi, DCI kukoma kuingiza siasa katika uchunguzi wa kifo cha mwanawe Mbunge Maalumu, David Ole Sankok.
Latest Video
N95 or KF94? Which mask is best at protecting against COVID-19