×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Suala la usawa wa jinsia litashughulikiwa-Raila Odinga

Suala la usawa wa jinsia litashughulikiwa-Raila Odinga

Kiongozi wa ODM, Raila Odinga amewahakikishia wanawake kwamba suala la usawa wa kijinsia katika nyadhifa mbalimbaliza za uongozi litatekelezwa licha ya mara kwa mara kupata pingamizi.

Akizungumza wakati wa kikao na viongozi wa wanawake kutoka maeneo mbalimbali katika juhudi za kuendeleza kampeni za Azimio la Umoja, wakati huu chini ya mpango wa Laddies Edition, Raila aidha amerejelea juhudi zake na Rais Uhuru Kenyatta za kutekeleza suala hilo kupitia BBI kabla ya kusitishwa na mahakama.Aidha akizungumza wakati wa kikao hicho katika Chuo Kikuu cha Katoliki, Catholic University, Mwakilishi wa Kike wa Murang'a Sabina Chege amemrai Odinga kumteua mwanamke kuwa mgombea mwenza wake.

Raila ametumia kikao hicho kueleza jinsi atakavyoboresha uchumi kwa kuimarisha sekta mbalimbali zikiwamo kilimo, afya, vilevile kukabili makali ya ukame.

 

Share this: