×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Serikali ya OKA itawapunguzia Wakenya Kodi-Gideon Moi

Serikali ya OKA itawapunguzia Wakenya Kodi-Gideon Moi

Muungano wa One Kenya Alliance utapunguza kodi wanayotozwa Wakenya hadi nusu iwapo utatwaa uongozi wakati wa uchaguzi wa mwaka ujao.

Mwenyekiti wa KANU Gideion Moi amesema OKA imejitolea kuhakikisha kwamba maisha ya Wakenya yanaimarika.

Akizungumza katika eneo la Yala, Kaunti ya Siaya alipohudhuria hafla ya mazishi ya Sophia Andago , Moi amesema lengo kuu la OKA ni kuimarisha uchumi wa nchi.

Amesisitiza wako tayari kushirikiana na wanasiasa wengine akiwamo Kiongozi wa ODM Raila Odinga.

Marehemu Onyango, alikuwa mamake msaidizi wa Moi John Ojera.

Share this: