×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Atwoli akashfu fujo zilizotokea Kondele, Kisumu Jumatano

Atwoli akashfu fujo zilizotokea Kondele, Kisumu Jumatano

Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi, COTU Francis Atwoli amekuwa wa hivi punde kukashfu vurugu zilizoshuhudiwa katika ziara ya Naibu wa Rais William Ruto eneo la Kondele.

Akizungumza na kituo cha KTNNEWS, Atwoli amehofia kwamba hulka hiyo itawathiri wafanyakazi hasa kwenye maeneo ya vurugu huku wegi wakihofia kwenda kazini. Atwoli badala yake amewataka wafuasi wa viongozi mbalimbali kuwathmini wawaniaji na kufanya uamuzi.

Kadhalika, amewarai wanasiasa kutofanyiana njama za kutatizana katika mikutano hiyo.

Share this: