×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Wazazi watagharimia hasara ya mioto shuleni-Wizara ya Elimu

Wazazi watagharimia hasara ya mioto shuleni-Wizara ya Elimu

Wizara ya Elimu imewataka walimu wakuu na wazazi kuwajibikia visa vya mioto shuleni.

Katibu katika wizara hiyo Dr. Julius Jwan na Katika wa Utawala Dr. Sarah Ruto wamewashtumu walimu wakuu kwa utepetevu kazini na kutoimarisha utendakazi wao ili kutibua visa hivyo.

Wawili hao wamewalaumu wazazi kwa kutekelekeza majukumu yao huku wakiwabebesha walimu mzigo wa kuwalea na kuwaelekeza wanao.

Wamezungumza wakiwa katika visiwa vya Mfangano, Remba na Takawiri katika Kaunti ya Homa Bay.

Share this: