×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Afueni kwa wenye mikopo, hawataoorodheshwa CRB

Afueni kwa wenye mikopo, hawataoorodheshwa CRB

Iwapo una deni la mkopo usiozidi shilingi milioni tano na hujalipia kwa sababu moja au nyingine, sasa jina lako halitaroodheshwa katika Mamlaka ya Kudhibiti Mikopo, CRB.

Katika tangazo ambalo limetolewa na Gavana wa Benki Kuu, CKB Patrick Njuguna, amri hiyo ilianza kutekelezwa kuanzia tarehe mosi, Oktoba mwaka huu hadi tarehe 30 Septemba mwaka wa 2022.

Kwa mujibu wa Gavana Njuguna, agizo hilo linaendana na amri aliyotoa Rais Uhuru Kenyatta wakati wa Maadhimisho ya Mashujaa.

Pia Njoroge ameonya kwamba taasisi za kifedha hazitaruhusiwa kuyaorodhesha majina ya Wakenya kwenye mamlaka yoyote mbali na CRB.

Share this: