×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Vitoza-machozi vimekosa kazi kutokana na utulivu-Kibicho

Vitoza-machozi vimekosa kazi kutokana na utulivu-Kibicho

Katibu katika Wizara ya Masuala ya Ndani ya Nchi, Dakta Karanja Kibicho amefichua kwamba serikali ilikuwa ikitumia shilingi milioni kumi kila mwezi kuwalipa polisi ili kuwakabili waliokuwa wakizua vurugu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2017.

Kulingana na Kibicho, fedha hizo zilikuwa zikigharimia mafuta ya magari, kuagiza vitoza-machozi vilevile marupurupu ya polisi waliojukumiwa kuwakabili waandamanaji katika maeneo mbalimbali.

Kibicho sasa amesema mapatano kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa ODM, Raila Odinga yaliyochangia utulivu, na serikali kuwekeza fedha zilizokuwa zikitumiwa wakati wa vurugu katika miradi mingine.

Share this: