×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Kenya kuendelea kushirikiana na mataifa mengine kukabili ugaidi

Kenya kuendelea kushirikiana na mataifa mengine kukabili ugaidi

Kenya itaendelea kushirikiana na mataifa mengine katika kukabili suala la ugaidi, amesema Rais Uhuru Kenyatta.

Akihutubu katika hafla ya kufuzu kwa makurutu wa Jeshi la Ulinzi, KDF mjini Eldoret, Rais amewataka wananchi kushirikiana na asasi za kiusalama ili kuimarisha usalama.

Pia ametoa wito kwa makurutu ambao wamefuzu kufuata nyayo za watangulizi wao kwa kudumisha nidhamu.

Vilevile amewahimiza kuendeleza masomo ili kupata ujuzi zaidi katika taaluma ya uanajeshi. 

Share this: