×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Omboko Milemba apendekeza shule zifungwe kwa muda kufuatia ongezeko la mikasa ya moto

Omboko Milemba apendekeza shule zifungwe kwa muda kufuatia ongezeko la mikasa ya moto

Mwenyekiti wa Chama cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo vya Kadri, KUPPET Amboko Milemba ametoa wito kwa Wizara ya Elimu kutoa fursa kwa shule nchini kufungwa kwa likizo fupi, yaani half term.

Milemba amesema ongezeko la visa vya kuteketezwa kwa mabweni na migomo katika baadhi ya shule maeneo tofauti nchini kunaashiria kuchoshwa kwa wanafunzi na masomo ambao wamerejelea muhula wa pili baada ya likizo fupi mno.

Aidha, Mwenyekiti huyo amependekeza kufutiliwa mbali kwa shule za bweni akisema zimechangia utovu wa nidhamu miongoni mwa wanafunzi huku akikwaza sababu za wanafunzi hao kuteketeza mabweni na wala si majengo mengine shuleni.

Share this: