×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Mshukiwa wa misururu ya amuaji ya watoto, Masten Wanjala atoweka

Mshukiwa wa misururu ya amuaji ya watoto, Masten Wanjala atoweka

Mshukiwa wa misururu ya amuaji ya watoto Masten Wanjala ameripotiwa kutoweka kutoka Kituo cha Polisi Cha Jogoo Road hapa Nairobi.

Taarifa za idara ya polisi zimedokeza kwamba afisa aliyekuwa katika zamu aligundua mapema leo kwamba Wanjala alikuwa ametoweka katika njia tatanishi.

Awali, mshukiwa alifikishwa mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu ya Kapenguria Justu Bwonwonga kwa kuhusishwa na mauaji ya wasichana wawili katika eneo la Moi's Bridge, kwenye Kaunti ya Uasin Gishu.

Anashutumiwa kuwaua Staicy Achieng aliyekuwa mkaazi wa eneo la Soy, Linda Cherono wa eneo la Moi's Bridge na Mary Eruza  kwenye eneo la Tuiabei kati ya mwaka 2017 na 2020.

Share this: