×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Hoja ya kumpokonya DPP mamlaka kuondolewa bunge

Hoja ya kumpokonya DPP mamlaka kuondolewa bunge

Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi amekubali kuondolewa kwa hoja iliyowasilishwa na Mbunge wa Alego Usonga, Samuel Atandi akipendekeza kupokonywa mamlaka Mkuu wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji ya kuwateua waendesha mashtaka wa serikali.

Muturi amefanya hivyo baada ya Atandi kumwandikia barua rasmi akitaka kusitishwa kwa hoja hiyo aliyoiwasilisha tarehe 29 mwezi Septemba mwaka huu akisema kwamba amefanya hivyo ili kutoa fursa ya mashauriano.

Awali, Mbunge huyo alitetea hatua yake akisema kwamba Noordin amekuwa akipoteza kesi nyingi zenye umuhimu kwa taifa hili kwa kuwateua waendesha mashtaka wasiokuwa na tajriba.

Share this: