×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Ruto awahimiza vijana kujisajili kuwa wapiga-kura

Ruto awahimiza vijana kujisajili kuwa wapiga-kura

Huku Tume ya Uchaguzi IEBC ikiendeleza shughuli ya kuwasajili wapigakura nchini, viongozi mbalimbali wa kisiasa wameendelea kuwarai Wananchi kushiriki shughuli hiyo.

Naibu wa Rais William Ruto amekuwa wa hivi punde kutoa wito huo akisema kwamba vijana wanaweza kuwasilisha na kusikika tu kupitia kura zao.

Kupitia kanda ya dakika moja aliyochapisha katika mtandao wake wa Twitter, Ruto amewarai wale ambao hawajasajiliwa kufanya hivyo ili kushiriki uchaguzi mkuu ujao kwa kuwa kuwachagua viongozi wanaostahili.

Share this: