×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Wakenya wahimizwa kufuatilia maadhimisho ya Madaraka

Wakenya wahimizwa kufuatilia maadhimisho ya Madaraka

Kiongozi wa wengi katika Seneti ambaye pia ni Seneta wa kaunti ya Pokot Magharibi Samwel Poghisio amewataka Wakenya kufuatilia Sherehe ya Siku Kuu ya Madaraka nchini  kupitia vyombo vya habari na mitandao ili kuepuka maeneo ya mikusanyiko.

Amesema wanachi wanafaa kuendelea kuzingatia masharti ya kudhibiti Korona kukiwamo kuvaa maski na kuepuka mikutano yenye watu wengi.

Poghisio ametumia fursa hiyo kuwatambua baadhi ya mashujaa wakazi wa kaunti ya Pokot Magharini waliopigania uhuru wa taifa hili japo hawajawekwa kwenye orodha ya mashujaa wengine nchini

Share this: