×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Washukiwa sugu wa uhalifu wahojiwa Nairobi

Washukiwa sugu wa uhalifu wahojiwa Nairobi
Washukiwa 3 wanaohusishwa na visa vya kuwavamia waendeshaji magari kwenye Barabara ya Southern Bypass Jijini Nairobi wanahojiwa na maafisa wa polisi.
 
Watatu hao; Brian Mwangi, Nickson Muchirina mtoto mwenye umri wa miaka 15 ambaye hajatambuliwa walinaswa wakiwa wamejihami kwa panga na silaha nyinginezo.
 
Watatu hao wanashukiwa kuhusika na visa kdhaa vilivyoripotiwa hivi karibuni.
 
Hiki ni kikundi cha pili cha wahalifu kutiwa mbaroni baada ya wengine 6 ambao walikamatwa baada ya kumvamia msafiri mmoja na mwanawe.

Share this: