×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Rais wa Ndayishimiye wa Burundi apokelewa na Raila

Rais wa Ndayishimiye wa Burundi apokelewa na Raila

Kinara wa ODM, Raila Odinga siku ya Jumatatu amemkaribisha rasmi Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye.

Katika tukio ambalo si kawaida, Raila ameuongoza ujumbe wa viongozi wakuu serikalini kumpokea Evariste katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege mjini Kisumu.

Rais huyo wa Burundi yuko nchini kwa ziara ya siku 2.

Siku hii atafanyiwa mapokezi rasmi katika Ikulu Ndogo ya Kisumu kabla ya kufanya vikao na ujumbe wa Kenya utakaongozwa na Rais Uhuru Kenyatta.

Kesho atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya Madaraka Dei ambayo vilevile itafanyika katika Kaunti ya Kisumu.

Share this: