×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Jaji Mkuu achapisha jina la Rais wa Mahakama ya Rufaa

Jaji Mkuu achapisha jina la Rais wa Mahakama ya Rufaa

Jaji Mkuu Martha Koome amechapisha kwenye Gazeti rasmi la serikali kuchaguliwa kwa Jaji Daniel Musinga kuwa Rais wa Mahakama ya Rufaa.

Baada ya kuidhinishwa, Musinga atahudumu kwa kipindi cha miaka mitano.

Musinga alichaguliwa wiki iliyopita kuchukua nafasi ya aliyekuwa Rais wa Mahakama ya Rufaa, William Ouko ambaye kwa sasa ni Jaji wa Mahakama ya Juu.

Share this: