×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Mike Sonko ajitetea kutokana na madai ya EACC ya kupata mali kwa njia za kutiliwa shaka

Mike Sonko ajitetea kutokana na madai ya EACC ya kupata mali kwa njia za kutiliwa shaka

Aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko amejitetea vikali dhidi ya taarifa kwamba Tume ya Maadili inatilia shaka alikotoa mali ya mabilioni ya pesa.

Kupitia mtandao wa Twitter, Sonko amejitetea akisema kwamba kumiliki mali humu nchini si makosa na kwamba kunyamaza kwake hakupaswi kutafsiriwa kuwa ujinga.

Gavana huyo wa zamani alikuwa akizungumza taarifa ya EACC ya jana kwamba wanawachunguza waliokuwa magavana watatu ambao wana mali ya jumla ya shilingi bilioni 11.5.

Share this: