×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Wanafunzi 5 wa Mukaa washtakiwa

Wanafunzi 5 wa Mukaa washtakiwa

Wanafunzi watano wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Mukaa iliyoko Makueni wamefikishwa katika Mahakama ya Makindu wakikabiliwa na mashtaka ya kuteketeza mali ya shule.

 Watano hao ni miongoni mwa wanafunzi 12 ambao walikuwa wamekamatwa baada ya bweni la wanafunzi mia moja kuteketezwa hali iliyochangia kuteketea kwa vitabu, madogoro na vifaa vingine vya wanafunzi. 

Waliofikishwa mahakamani mbele ya Hakimu Mkuu, Charles Mayamba wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu mia tano pesa taslimu kila mmoja.

Wanafunzi waengine waliachiliwa hapo awali baada ya kukatwa kwa kuondolewa lawama za kuhusika katika kisa hicho.

Shule hiyo ya Mukaa ilifungwa jana kwa muda usiojulikana kufuatia mkasa huo.


 

Share this: