×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Khalwale awataka Wetangula na Mudavadi kuvivunja vyama vyao

Khalwale awataka Wetangula na Mudavadi kuvivunja vyama vyao

Aliyekuwa Seneta wa Kakamega, Dakt Boni Khalwale amewataka vinara wa vyama vya kisiasa vyenye ushawishi wa kimaeneo kwenye eneo la Magharibi ya Nchi kuvunjwa na kuunga mkono vyama vyenye uungwaji mkono wa kitaifa.

Akiwalenga Kinara wa Ford Kenya, Moses Wetangula na mwenzake wa ANC, Musalia Mudavadi, Khalwale amesema ni wakati wa eneo la Magharibi kujumuika na vyama vyenye sura ya kitaifa iwapo linataka ushindi katika uchaguzi mkuu ujao.

Wakati uo huo, ameeleza kuwa na imani katika Idara ya Mahakama hasa baada ya kuapishwa rasmi kwa Martha Koome kuwa Jaji Mkuu.

Share this: