×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Elachi azitaka kaunti kubuni sheria kudhibiti dhulma za kijinsia

Elachi azitaka kaunti kubuni sheria kudhibiti dhulma za kijinsia

Katibu wa Utawala katika Wizara ya Huduma za Umma na Jinsia, Beatrice Elachi amezishinikiza serikali za kaunti kubuni sheria za kukabili dhulma za kijinsia.

Akizunguma katika Kaunti ya Kilifi, Elachi amesema kwamba kila kaunti ina jukumu la kufanikisha lengo hilo. Amependekeza kujengwa kwa vituo vya kuwahifadhi waathiriwa wa dhuluma hizo.

Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Kilifi, Getrude Mbeyu anasema mikakati inaendelezwa ili kuhakikisha pendekezo la Elachi linatekelezwa.

Share this: