×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Kenyatta kuzindua upya Shirika la Nyama KMC

Kenyatta kuzindua upya Shirika la Nyama KMC

Rais Uhuru Kenyatta leo anatarajiwa kuongoza uzinduzi upya wa Shirika la Nyama la KMC katika eneo la Athi River.

Shirika hilo linatarajiwa kuanza kusimamiwa upya na Idara ya Jeshi. Hatua hii inafuatia agizo la Rais Uhuru Kenyatta lililotolewa mwaka uliopita kuagiza kuhamishwa kwa usimamizi wa shirika hilo kutoka Wizara ya Kilimo hai Idara ya Jeshi.

Hatua hiyo ililenga kuimarisha huduma zake kufuatia usimamizi bora ikizingatiwa kwa wakati huo lilikuwa linafanya shughuli zake kwa hasara na hata kushindwa kuwalipa wafugaji waliokuwa wakiuza mifugo yao.

Kadhalika, Idara ya Jeshi n miongoni mwa mashirika tegemezi kwa huduma za Shiika la Nyama. Hatua hiyo ilikuwa imepata pigo la muda  baada kupingwa na Chama cha Wanasheria kilichoitaja kuwa na kinyume na sheria. Jaji Anthony Mrima aliitikia madai kwamba uhamishaji huo haukuwa umefuata taratibu kukiwam kuhusishwa kwa umma. Hata hivyo altoa muda wa siku 90 kwa Wizara ya Afya na Idara ya Jeshi kutimiza matakwa yote ya kisheria.

Share this: