×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Waliochanjwa nchini wengi ni wa miaka 58 na zaidi

Idadi kubwa ya watu aliopewa chanjo dhidi ya korona nchini ni wenye umri wa zaidi ya miaka 58.

Kulingana na takwimu za Wizara ya Afya watu wa miaka hamsini na zaidi waliochanjwa ni ni elfu mia mbili themanini na tisa mia tano sabini na nne wakifuatwa na  wahudumu wa afya ambao ni elfu mia moja sitini na tatu mia tisa kumi na saba, walimu laiochanjwa ni elfu mia moja arubaini na tisa mia tisa hamsini na nane kisha maafisa wa usalama ambao ni elfu themanini  mia tano kumi na tano.

Ikumbukwe serikali iliwafaya kipaumbele watu wenye miaka hamsini na minane na zaidi baada ya kubainika kwamba ndo wako katika hatari ya kuambukizwa virusi vya korona kando na wahudumu wa afya. Aidha ilibainika kwamba waliokuwa katika umri huo waliugua zaidi na wengi kuaga dunia baada ya kuambukizwa korona kulinganishwa na makundi mengine.

Kwa jumla serikali imewachanja watu elfu mia tisa hamsini na mbili mia tisa sitini na nane. Ikumbukwe Kenya ilipokea dozi milioni 1.3 za AstraZeneca mapema mwaka huu kupitia mpango wa COVAX. Aidha kufuatia hatua ya India kusitisha usambazaji wa chanjo hizo ka maaifa mengine, hadi Oktoba mwaka huu, baada ya maambukizi kuongzeka.

Kenya sasa inatafuta mbinu nyingine kuhakikisha waliopata dozi ya kwanza hawatakosa ya pili. Tayari serikali imepokea dozi mia moja hamsini za AsraZeneca kutoka Jauhuri ya Kidemorasi ya Congo, huku ikisema mazunguzo yanaendelea ili kupata dozi nyingine za Johson & Johnson kwa sasa.

hayo yanajiri huku watu mia tano sabini na watatu zaidi amethibitishwa kuambukizwa virusi vya korona leo hii.

Idadi hii imetokana na sampuli elf tano mia saba tisini na nane kumaanisha viwango vya mamabukizi nchini eo hii ni asilmia 9.9. Idadi jumla ya walioambukizwa korona nchini sasa ni elfu mia moja sitini na nane, mia moja na wanane.

Watu sita zaidi wamefariki dunia kutokana na COVID- 19 na kufikisha jumla kuwa elfu tatu arubaini na tisa.

Waliothibitishwa kupona katika saa ishirini na nne zilizopita ni hamsini na wanane pekee kumanisha jumla sasa ni elfu mia moja kumi na nne, mia nne hamsini na wawili..

Watu wenye umri wa zaidi ya miaka hamsini na minane ndio wamenufaika zaidi na chanjo dhidi ya virusi vya korona.

Kulingana na takwimu za Wizara ya Afya watu wengi waliopewa chanjo hiyo ni walio na miaka hamisni na zaidi ambao ni elfu mia mbili themanini na tisa mia tano sabini na nne wakifuatwa na  wahudumu wa afya ambao ni elfu mia moja sitini na tatu mia tisa kumi na saba, walimu laiochanjwa ni elfu mia moja arubaini na tisa mia tisa hamsini na nane kisha maafisa wa usalama ambao ni elfu themanini  mia tano kumi na tano.

Share this: