×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Idara ya Upelelezi, DCI imewashauri wananchi kuwa waangalifu dhidi ya maajenti bandia wa kampuni za mawasiliano

Idara ya Upelelezi, DCI imewashauri wananchi kuwa waangalifu dhidi ya maajenti bandia wa kampuni za mawasiliano

Idara ya Upelelezi, DCI imewashauri wananchi kuwa waangalifu dhidi ya maajenti bandia wa kampuni za mawasiliano ambao wamekuwa wakihudumu jijini Nairobi.

DCI imesema kwamba imepokea malalamishi ya wananchi kadhaa ambao walikiri kulaghaiwa na maajenti hao bandia ambao wamekuwa wakihudumu katika  eneo la archives na Barabara ya Tom Mboya jijini Nairobi.

Walaghai hao wamekuwa wakijidai kuwasaidia wateja kuimarisha mawimbi ya simu zao hadi 5G kisha kuchukua taarifa muhimu kutoka kwenye simu hizo na kufanikisha wizi wa pesa.

Wananchi wameshauriwa kuviripoti visa vya ulaghai huo ili wahusika wachukuliwe hatua kali.

Share this: