×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Rais wa Uganda Yoweri Museveni anatarajiwa kuapishwa leo kuendelea kuhudumu katika wadhifa huo

Rais wa Uganda Yoweri Museveni anatarajiwa kuapishwa leo kuendelea kuhudumu katika wadhifa huo

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuapishwa leo kuendelea kuhudumu katika wadhifa huo ambao ameushikilia kwa kipindi cha miaka 35 mfulilizo.

Yoweri ataapishwa jijini Kampala Uganda huku maafisa wa polisi wakiwa tayari wameripotiwa kushika doria maeneo mbalimbali nchini humo. Aidha, baadhi yao tayari wamezingira boma la kiongozi wa upinzani Bobi Wine ambaye alipinga vikali matokeo ya uchaguzi wa urais wa Januari mwaka huu.

Baadhi ya marais wa mataifa ya Bara Afrika wamealikwa kuhudhuria hafla hiyo ambayo inatarajiwa kususiwa na upande wa upinzani nchini Uganda.

Share this: