×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Rais Suluhu akwepa Barabara Kuu ya Mombasa wakazi wa ziara yake

Rais Suluhu akwepa Barabara Kuu ya Mombasa wakazi wa ziara yake

Kinyume na ilivyotarajiwa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu hakutumia barabara ya Mombasa hapa Nairobi alipowasili Kenya.

Baada ya ndege iliyombebea ya Tanzania Air kutua katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Jomo Kenyatta JKIA, Suluhu ambaye kwa sasa yuko katika Ikulu ya Nairobi, alitumia barabara ya Southern Bypass kisha ule ya Lang'ata kabla ya kuingia katikati ya jiji.

Inaarifiwa kwamba alitumia barabara hiyo ili kukwepa Barabara ya Mombasa ambayo bado inajengwa, ambapo kwa kigezo cha usalama kiongozi wa nchi hafai kutumia barabara inayofanyiwa ujenzi.

Alipowasili, Suluhu alipokolewa na Waziri wa Masuala ya Nchi za Kigeni, Raychelle Omamo na mwenzake wa Michezo Amina Mohammed miongoni mwa viongozi wengine.

Share this: