×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Polisi wamemuua mshukiwa wa uhalifu katika eneo la Ng'arua, Laikipia

Polisi wamemuua mshukiwa wa uhalifu katika eneo la Ng'arua, Laikipia

Maafisa wa polisi wamemuua kwa kumpiga risasi mshukiwa wa uhalifu wakati wa makabiliano makali baina yao na washukiwa wa wizi katika eneo la Ng'arua katika Kaunti ya Laikipia.

Kulingana na maafisa wa Idara ya Upelelezi DCI washukiwa wengine walifanikiwa kutoroka wakiwa na majeraha ya risasi.

Polisi walifanikiwa kupata bunduki aina ya AK47 na risasi kumi na tatu . Washukiwa hao walikuwa wametambuliwa na maafisa wa kitengo cha GSU

Maafisa hao wametoa wito kwa umma hasa hospitali zilizoko kwenye kaunti ya Laikipia kupiga ripoti iwapo kuna wagonjwa wenye majeraha ya risasi watakaoenda kutafuta huduma.
 

Share this: