×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Rais Suluhu awaomba msamaha wafanyakazi Tanzania

Rais Suluhu awaomba msamaha wafanyakazi Tanzania

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaomba msamaha wafanyakazi nchini humo kwa kutowaongeza mshahara mwaka huu.

Akihutubu wakati wa maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Rais Suluhu amesema licha ya matamanio ya wengi,  kusingewezekana kwa wafanyakazi kuongezwa mishahara mwaka huu kwa sababu uchumi umedorora.

Rais Samia amesema ameshindwa kutimiza matamanio ya wafanyakazi mwaka huu kwani ukuaji wa uchumi wa Tanzania umeshuka kutoka asimilia 6. 9 hadi asilimia 4.7 hali ambayo imechangiwa na Janga la korona..

Hata hivyo ameahizi kupunguza kodi na matozo mengine mablimbali ya serikali kwa wafanyakazi.

Share this: