×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

497 waambukizwa korona, 17 wafariki

497 waambukizwa korona, 17 wafariki

Watu 497 wamethibitishwa kuambukizwa Virusi vya Korona katika kipindi cha saa 24 zilizoputa baada ya sampuli 5, 117 kupimwa.

Viwango vya maambukizi leo hii ni asilimia 9.7.

Miongoni mwa walioambukizwa, 282 ni wa kiume huku 215 wakiwa wa kike.

Mtoto wa miezi sita na mkongwe wa miaka 96 ni miongoni mwa walioambukizwa.

Hata hivyo, watu 17 wameripotiwa leo kuaga dunia kutokana na COVID-19.

Kufikia sasa watu 188 wako katika vyumba vya wagonjwa mahututi ICU, huku 1, 311 wakiwa wamelazwa katikA hospitali mbalimbali nchini, 6,650 wakiwa katika huduma ya nyumbani.

Share this: