×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Mwanamme amuua mkewe huko Mbooni, Makueni

Mwanamme amuua mkewe huko Mbooni, Makueni

Mwanaume mwenye umri wa miaka 74 amemuua mkewe mwenye umri wa miaka 70 katika kijiji cha Kisau kwenye eneo la Mbooni katika  Kaunti ya Makueni.

Inaarifiwa mshukiwa ambaye pia ameuliwa kwa kuteketezwa na wananchi amemuua mkewe kwa  kumkatakata kwa upanga.

Danile Mutinda ni chifu wa kijiji hicho.

Chifu huyo aidha ametoa wito kwa kina mama kuwa waangalifu katika ndoa na kutambua kwa wakati mizozo inayoweza inayoweza ksuababisha vifo.

Visa vya mauaji katika familia vimekithiri kote nchini, kisa cha hivi punde kikiwa kile cha mwanamke aliyeuliwa na mpenziwe kwa kumkatakata vibaya kisha kuurusha mwili wake huko Witeithie kwenye barabara ya Thika-Nairobi.

Share this: