×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

1,027 waambukizwa korona; 20 wakiaga dunia

1,027 waambukizwa korona; 20 wakiaga dunia

Watu elfu moja ishirini na saba wamethibitishwa kuambukizwa virusi vya korona katika saa ishirini na nne zilizopita.

Idadi hii imetokana na sampuli elfu saba mia moja themanini na nne kumaanisha kwamba viwnago vya maambukizi nchini leo ni asilimia 14.3.

Aidha iadai jumla ya watu ambao wameambukizwa korona nchini imefikia 151,287.

Watu ishirini wameripotiwa kufariki dunia na kufikisha idadai jumla kuwa elfu mbili mia nne sitini na watatu.

Wanane wamefariki katika kipindi cha saa ishirini na nne zilizopita na kumi na wawili walirekodiwa kufariki kwenye sehemu mbalimbali katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.

Idadi ya waliopona sasa ni elfu mia moja na moja mia atau sitini na mbili baada ya watu wengine mia tatu thelamini na wawili kupona covid-19 katika saa ishirini na nne zilizopita.

Kuna w agonjwa elfu moja mia sita wlaiolazwa katika hopsitali mbalimbali nchini na elfu tano mia saba tisini na wanane wanahudumiwa nyumbani.

Wagonjwa wa COVID-19 walio ICU ni mia mbili thelathini na tisa, huku mia mbili ishirini na wanne wakiwa wamewekewa Oxgen.

Share this: