×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

WHO: Hofu ya ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza NCDs

WHO: Hofu ya ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza NCDs

Tangu kuanza kwa janga la COVID-19 walio na magonjwa yasiyoambukiza NCDswamelalamikia upungufu wa huduma za afya.

Kwa mujibu wa Shirika la  Afya Duniani WHO, magonjwa yasiyoambukiza yanaongezeka wa kasi na yasipodhibitiwa idadi ya walio na magonjwa hayo itakwa juu Zaidi kuliko walio na magonjwa yakuambukiza

Magonjwa yasiyoambukiza NCDsvilevile yanachangia katika idadi ya juu ya vifo, hivyo kusisitizwa umuhim wa kuwa na Huduma bora ya fya wa wote. UHC.

Wakati wa janga la COVID-19 walio na NCD’s wamekuwa katika athari ya juu ya maambukizi na walioambukizwa kupata madhara Zaidi ya kiafya.

Katika mataifa ya Afrika Mashariki na Magharibi, mpango wa AstraZeneca’s Healthy Heart Africa imeweka mikakati ya kudhibti maradhi ya moyo na shinikizo la damu mwilini.

Mpango huo ambao unaendelea katika mataifa ya Kenya, Ethiopia, Uganda, Tanzania na Ghana unalenga kuboresha huduma za afya kwa kuhakikisha kuna uchunguzi na matibabu ya shinikizo la damu.

HAta hivyo kufikia sasa changamoto kuu ni ukosefu wa data kamili kuhusu walio na shinikizo la mwilini.

Share this: