×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Seneti yaanza kujadili Mswada wa Ugavi wa Mapato mwaka wa 2021

Seneti yaanza kujadili Mswada wa Ugavi wa Mapato mwaka wa 2021

Bunge la Seneti limeanza vikao vya kujadili Mswada wa Ugavi wa Mapato wa mwaka wa 2021 kwa Serikali ya Kitaifa na  zile za Kaunti.

Kiongozi wa Wengi Samuel Poghisio amesema ni jukumu la Seneti kuharakisha kupitisha mswada huo ili kufanikisha shughuli za maendeleo.

Akizungumza wakati wa kuanza vikao hivyo, Poghisio amewataka Maseneta kupitisha mswada huo kwa haraka ili kuzuia mkwamo jinsi ilivyoshuhudiwa mwaka 2020.

Kauli yake imetiliwa mkazo na Kiongozi wa Wachache katika Seneti James Orengo ambaye vilevilke ameeleza haja ya ufisadi kukabiliwa ili kulinda fedha za serikali.

 

Share this: