×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Maafisa wa usalama Kaunti ya Turkana wanaendeleza msako

Maafisa wa usalama Kaunti ya Turkana wanaendeleza msako

Maafisa wa usalama kwenye Kaunti ya Turkana pamoja na wale wa serikali ya Kaunti wanaendeleza msako kwa wale wanaokiuka masharti ya kuzuia maambukizi ya korona huku walengwa wakiwa wahudumu wa Boda Boda wanaowabeba abiria zaidi ya mmoja na wafanyabiashara.

Kamanda wa Polisi waTurkana ya Kati David Mburukua amesema kuwa msako huo utaendelea kila siku na wanaokiuka masharti hayo watashtakiwa.Vilevile, Naibu Kamishna wa Kaunti hiyo ndogo David Juma amewahimiza wakazi kuvaa maski kila ikiwa njia mojawapo kizuia maambukizi ya korona.Kaunti ndogo ya Turkana ya Kati imenakili idadi ya watu wanane walioambukizwa korona kati ya watu kumi na watatu waliopimwa mwanzoni mwa mwezi huu wa Aprili.

 

 

Share this: