×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Mmewe Malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili, Mwanamfalme Philip ameaga dunia.

Mmewe Malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili, Mwanamfalme Philip ameaga dunia.

Mmewe Malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili, Mwanamfalme  Philip ameaga dunia.

Philip ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 99.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Uingereza, Hayati Philip ameaga dunia akiwa katika makazi ya Windsor.

Philip na Elizabeth walifunga ndoa mwaka 1947 miaka mitano tu kabla ya kutawazwa kuwa Malkia.

Wana watoto  wanne, wajukuu wanane na vitukuu kumi.

Share this: