×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Familia zaomboleza wapendwa wao baada ya ajali mbaya kushuhudiwa Kilifi

Familia zaomboleza wapendwa wao baada ya ajali mbaya kushuhudiwa Kilifi

Baadhi ya familia kwenye eneo la Msabaha katika Kaunti ya Kilifi zinaendelea kuomboleza kifo cha wapendwa wao waliofariki jana kufuatia ajali ya jana kwenye eneo la Kwamkikuyu, Kizingo, Barabara ya Malindi – Mombasa.

Miongoni mwa familia hizo ni ambayo mpendwa wao alifariki dunia alipokuwa akitibiwa katika chumba cha matibabu ya dharura. Wamewataja wapendwa wao kuwa waliowategemea pakubwa katika familia hizo.

Jumla ya watu 15 walifariki dunia kufuatia ajali hiyo iliyohusisha mabasi mawili ya Kampuni ya Muhsin na Sabaki.

Share this: