×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Mwizi wa ng'ombe akamatwa Nyamira alipokuwa akijaribu kumficha chumbani

Mwizi wa ng'ombe akamatwa Nyamira alipokuwa akijaribu kumficha chumbani

Mwanaume mmoja wa umri wa makamo anazuiliwa katika kituo cha Polisi cha Matutu kule Borabu katika Kaunti ya Nyamira akidaiwa kumuiba ngombe.

Kamanda wa Polisi wa Kaunti hiyo Catherine Mugwe amesema mshukiwa Joseph Nyagaka alinaswa na maafisa wa Polisi akijaribu kumficha ng'ombe kwenye chumba chake cha kulala kwenye kijiji cha Nyandoche Ibere.

Share this: