×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Mtahiniwa wa KCPE ajinyonga Nyamira

Mtahiniwa wa KCPE ajinyonga Nyamira

Mwili wa msichana wa umri wa miaka 15 ambaye ni mtahiniwa wa KCPE mwaka huu katika Kaunti ya Nyamira unahifadhiwa kwenye hifadhi ya maiti ya hospitali ya mafunzo na rufaa kule Kisii KTRH muda mfupi baada yake kujinyonga.

Kulingana na naibu chifu wa kata ndogo ya Kiabiraa kwenye eneo bunge la Kitutu Masaba katika Kaunti ya Nyamira Charles Oigoro ni kwamba mtahiniwa huyo Esther Kemunto Omaya aliyefanya mtihani wake wa KCPE mwezi jana alipatikana akiwa amejinyonga kwa kujifunga kamba shingoni nyumbani  kwao katika kijiji cha Nyagetugo, Manga.


 

Share this: