×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Kenya endelea kutetea hatua ya kusitisha shughuli kweny kaunti tano

Kenya endelea kutetea hatua ya kusitisha shughuli kweny kaunti tano

Kwa mara nyingine, Rais Uhuru Kenyatta ametetea hatua ya serikali kutangaza mikakati ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya korona hususan kwenye maeneo ya burudani na kuabudu.

Kw amujibu wa hotuba ya Rais iliyosomwa kwa niaba yake na Waziri wa Afya Mutahi Kagwe, Uhuru amesema kwamba licha ya kuwa masharti hayo yanaonekana kuwakandamiza baadhi ya Wananchi, yana umuhimu mkubwa katika vita dhidi ya janga la Covid-19.

Ikumbukwe kuwa baadhi ya viongozi wa kidini wamekuwa wakilalamikia kufungwa kwa maeneo ya kuabudu wakiwemo waumini wa dini ya Kiislamu ambao sasa wanamtaka Rais kusitisha muda ya kutokuwa nje kwenye kaunti 5 ambazo ni; Nairobi, Kiambu, Machakos, Kajiado na Nakuru ili kuwawezesha kuhudhuria swala ya usiku maarufu TARAWEH.

Share this: