×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Mwanamziki tajika wa jamii ya Gikuyu, Albert Gacheru afariki dunia

Mwanamziki tajika wa jamii ya Gikuyu, Albert Gacheru afariki dunia

Mwanamuziki tajika wa jamii ya Gikuyu kwa jina Albert Gacheru maarufu, Gacheru Wamaitu  anaendelea kuoombolezwa na wapenzi wa muziki wake kufuatia kifo chake.

 Gacheru ameaga dunia baada ya kuugua kwa muda na hata kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi.

Japo aliimba nyimbo nyingi, alifahamika zaidi kwa wimbo 'Mwendwa Wakwa Mariru' ambao licha ya kuimbwa kwa lugha ya Gikuyu ulipata umaarufu kote nchini.

Ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 59.

Share this: