×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Linturi aitaka serikali kugharimia matibabu ya wagonjwa wa Covid-19

Linturi aitaka serikali kugharimia matibabu ya wagonjwa wa Covid-19

Seneta wa Meru, Mithika Linturi ameitaka serikali kugharimia matibabu ya wagonjwa wa Covid-19. Akihutubu katika eneo la Igembe, Linturi amesema Wakenya wanapitia hali ngumu ya maisha kutokana na gharama ya juu za matibabu.

Amependekeza serikali kujumuisha matibabu ya ugonjwa huu katika kadi ya Bima ya Afya ya NHIF au kutenga bajeti maalumu ya kushughulikia Covid-19.

Aidha, ameitaka serikali kuwasambazia Wakenya hasa wanaotoka familia maskini maski badala ya kuwakamata wanapokosa kuvalia.

Wakati uo huo, amewashauri wananchi kujitokeza ili kupewa chanjo dhidi ya korona.

Share this: