×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Watu 190 wakamatwa kwa kupuuza masharti ya kudhibiti korona

Watu 190 wakamatwa kwa kupuuza masharti ya kudhibiti korona

Watu zaidi ya mia moja tisini wametiwa mbaroni hapa jijini Nairobi kwa kupuuza masharti ya kudhibiti maambukizi ya korona.

Waliokamatwa wamepatikana baada ya marufuku ya kuwa nje kuanza kutekelezwa, wengine wakiwa wale waliopatikana bila maski ama kuzivaa chini ya kidevu.

Kamishna wa Nairobi, James Kianda amesema watu hao watafikishwa mahakamani Jumanne wiki ijayo kujibu mashtaka ya kuweka hatarini maisha ya wengine kupitia maambukizi.

Wakati uo huo, ameonya kwamba wengine watakaopatikana wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria.

Share this: