×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

"Mimi na Chris Brown ni washkaji" adai Arrow Bwoy

"Mimi na Chris Brown ni washkaji" adai Arrow Bwoy
Na Hassan Umar,
NAIROBI, KENYA, Kabla ya kuwa signed under Kaka Empire wengi tulikuwa hatumfahamu Arrow Bwoy, licha ya kwamba alikuwa ana mziki mzuri ila alikuwa amekosa management, kitu ambacho ni muhimu sana kwa muziki wa kizazi cha sasa.
 
Awali, Arrow Bwoy thrilled us with a couple of hits ikiwemo, Digi Digi, Jango Love, Shikisha etc, na siku za hivi karibuni pia ali release album yake ya kwanza, iliyoitwa 'Hatua', ambayo ilimukea mahali Pazuri kwenye ramani ya muziki
 
Wiki iliyopita, Arrow Bwoy ameachia ngoma yake mpya inayoitwa 'Fashionista' na kuisifia sana ngoma hiyo na kusema video ya ngoma hio imemgharimu Ksh 2 million, huku akisema kwamba mpaka leo, hio ndio video yake expensive sana
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha 'Konnect', Arrow Bwoy alisema ilimbidi amsafirishe director wa ngoma hio, kutoka Brazil, ilimradi tu apate kazi safi, vile vile pia alijiongeza na kusema kwamba yuko kwenye mawasiliano mazuri na muimbaji Chris Brown, kutoka Marekani, na watu wasubirie chochote kutoka kwake na Chris Brown, vile vile pia alisema wao huchati mara kwa mara kwenye DM na kwamba wao ni washkaji wa karibu sana
 

Je ni ngoma gani ya Arrow Bwoy unayoipenda sana

Share this: