×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Kibicho ataja kufurahishwa na kupitishwa kwa Mswada wa mwaka 2020 wa Marekebisho ya Katiba.

Kibicho ataja kufurahishwa na kupitishwa kwa Mswada wa mwaka 2020 wa Marekebisho ya Katiba.

Katibu katika Wizara ya Masuala ya Ndani ya Nchi Karanja Kibicho ameyapongeza mabunge ya kaunti kwa kuunga mkono Mswada wa mwaka 2020 wa Marekebisho ya Katiba.

Akihojiwa na kituo kimoja cha humu nchini, Kibicho amesema kwamba kupitia Mpango wa Upatanishi, Wakenya wamedhihirisha kwamba kamwe wamechoshwa na mivutano ambayo hushuhudiwa kila baada ya uchaguzi mkuu pamoja na kutaka huduma bora kutoka kwa serikali.

Wakati uo huo, Kibicho amesema kwamba kupitishwa kwa mswada huo na asilimia kubwa ni dhihirisho kwamba Wakenya wameelewa mbinu za kuwakilishwa bungeni pamoja na kupokea migao.

Share this: