×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

BBI imepita katika kaunti, inayofuata

BBI imepita katika kaunti, inayofuata

Je, unafahamu hatua zitakazofuata baada ya mabunge zaidi ya ishirini na manne kupitisha Mswada wa Marekebisho ya Katiba mwaka wa 2020

Kwanza, maspika wa mabunge ya kauti watawasilisha stakabadhi za kura ya mswada huo katika mabunge ya Kitaifa na Seneti ili kuja jinsi Javas Bigambo ambaye ni Mjuzi wa Masuala ya Kisheria anavyoeleza.

Iwapo wabunge na maseneta wataupitisha pia, Tume ya Uchaguzi IEBC itapewa fursa ya kubuni swali la Ndio au La ili kuruhusu wananchi kushiriki kura ya maamuzi.

Hata hivyo, Bigambo anasema Rais Uhuru Kenyatta na Kinara wa ODM, Raila Odinga watakuwa na kibarua kigumu kuwashawishi Wakenya kwani asilimia kubwa ya wananchi hawafahamu manufaa ya mswada huo.

Share this: