×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Gachagua ataka DCI kuzuiwa kumkamata

Gachagua ataka DCI kuzuiwa kumkamata

Mbunge wa Mathira, Rigathi Gachagua amewasilisha kesi mahakamani akilenga kuizuia Idara ya Upelelezi, DCI kumkamata kufatia madai ya wizi.

Aidha ameiomba mahakama kumpa zuio la kukamatwa iwapo Mkuu wa Mashtaka ya Umma atamfungulia mashtaka kutokana na uchunguzi kuhusu madai ya utakatishaji fedha, yaani money laundering.

Gachagua sasa anadai kwamba masaibu yanayomwandama yanayokana na uhusiano wake wa kisiasa na Naibu wa Rais William Ruto.

Share this: