×
x Digital News Videos Opinions Cartoons Education U-Report E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian SDE Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login ×

Alfred Keter kurejea katika kambi ya Ruto

Alfred Keter kurejea katika kambi ya Ruto

Mazungumzo yanaendelea ya kumrejesha Mbunge wa Nandi, Hill Alfred Keter katika kambi ya Naibu wa Rais William Ruto baadaye wiki hii.

Katika siku za hivi karibuni, Keter ambaye amekuwa mkosoaji mkubwa wa Ruto, amesalia kimya katika ulingo wa kisiasa huku wandani wake wakisema kwamba anasomea uzamili, masters.

Hata hivyo, inaarifiwa kwamba kambi ya Ruto imemshawishi kujiunga nao katika kinyang'anyiro cha urais mwaka 2022.

Ikumbukwe kwa Ruto ameratibiwa kuzuru Kaunti ya Nandi Ijumaa hii ambako anatarajiwa kukutana ana kwa ana na Keter.

Share this: